Ugomvi Wa Soksi na Vijana wa Vyuo

17Feb
kelvin George Feb. 17, 2024, 3:28 p.m.

Ugomvi Wa Soksi na Vijana wa Vyuo

Vijana wengi wakiume wa vyuo wamekua na mtindo wakutovaa soksi, na hii imekua tabia inayo kua kwa kasi kinoma, kilakona ya chou ukipita lazima ukutane na kijana mmoja ambaye hajavaa soksi.Oya wanangu mabishoo wanangu matozii, hii inawahusu nyie kabisa yaani najua tunakwenda na fashion Nawala sio dhambi aisee, ila tumetafakari athari au madhara yake.Zipo athari nyingi za kuvaa viatu bila soksi leo nitaelezea athari tatu (3).

       1.Miguu Kutoa Harufu Mbaya
Oya we kama unadhani ujanjaa nikutokuvaa soksi basi umekosea.Kutokuvaa soksi hupelekea mkusanyiko wa jasho kwenye miguu yako ndani ya kiatu ambalo kwa namna moja ama nyingine husababisha harufu mbaya, harufu hii huisikia pindi tu unapovua kiatu.N hapa ndipo umuhimu wa soksi huja, soksi husaidia kupunguza joto kwenye soli za miguu yako na kuzuia jasho jingi kuzalishwa

      2.Magonjwa ya Fangasi 
Mabishoo eee! Nawasanua nyingine hii. Tabia ya kuto kuvaa soksi pia hupelekea magonjwa ya fangasi kwenyee miguu nah ii hutokana na hali ya unyevuunvyevu kuzidi wenye miguu. Sasawanangu wa UDSM msinimaind vueni viatu tuone kama hamna fangasi, hahaha natania ila chukua hio na ubadilike, sema nini mabishoo si lazima tuishi tu ila tuzingatie pia na afya za miguu yetu

      3.Michubuko ya Miguu
Ushawahi ona ile unavua viatu tu unakuta kingozi kime vilia vimajimaji na baadae hupasuka na kuacha mchubuko, hiii maranyingi hutokea kwa mtu aliye vaa kiatu kinacho bana pia hata usipo vaa soksi hii kitu inaweza tokea aisee.Hivyo zingatia mwanangu wa faida vaa mazingira hayo

Comments (0)

  • No Comments


Write a Comment

For inquiries, partnerships, or contributions, please reach out to us today

+255 678 435 684 Contact Us
WhatsApp